Chumba kimoja kinapangishwa Ubungo External karibu na Mabibo hostel kwa 60,000

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
Habari wadau.

Chumba kimoja kinapangishwa Ubungo external.. near Mabibo hostel.

Kipo ndani ya fence na kuna geti, kuna umeme na maji DAWASCO.

Na maji ya kisima ( drilling ambayo yanauzwa kipindi cha shida ya maji DAWASCO)

Kodi ni elfu 60,000 kwa mwezi. inalipwa kwa miezi 6.

Mwenye nyumba anahitaji bachelor( yaani mtu anayeishi peke yake)

Kijana anaeanza maisha / mwanachuo.

0658 000106.
 
Jee kama nataka kukitumia hicho chumba kama offisi jee itawezekana? Na ukubwa wake hicho chumba upoje? Na kodi hyo unatowa kwa muda gani?(mwezi,miez 6 au mwaka)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom