Sasa mkuu unashindwa hata kutaja bei? na ukubwa wa viwanja vyenyewe?nauza vwanja vlivyo pimwa vpo morogoro maeneo ya mkundi
mkundi ni balabala inayoenda dodoma ni km 14 kutoka mjini adi unapofika kwenye vwanja vyenyewe
sawa kamanda,na umbali kutoka barabara kuu kuingia kwenye viwanja kuna umbali gani? Huduma gani iko karibu ?
umeme ,maji inapatikana kwa umbali gani boss?