Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nissan Almera for sale for 4.8 m Specs 2003 yr Cc1700 Km110,000 5Doors Automatic In Good condition Contact me through 0659 594 994 or pm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza camcorder ya canon MVX3i ipo katika hali nzuri kabisa haina tatezo lolote. Bei ni 450,000/= (Laki nne na nusu)
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nyumba maeneo hayo hapo juu yaani knyama au Ubungo, Two bedrooms tafadhali mwenye kuwa na taarifa tujulishane
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Closed
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Imetumika wiki 2, literally bado mpya. Jipangie Bei:
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza Samsung Note1. Its as good as new.. Bei ni 250,000. For more details utanipata kwenye hii namba: 0712 220 207
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mradi wa kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia tasinia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream Makers hatimaye umefika Mwanza. Wataalamu wa maswala ya biashara na urembo wataendesha mafunzo wiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mashine ya Kisasa ya kuchomea Kuku 12kwa mara moja inauzwa tshs780,000/= inatumia Umeme. Bado ipo kwenye hali nzuri kama inavyoonekana kwny picha Nicheki hapa 0652 494919
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, Nawezapata Toyota Probox ya 2006?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Set ya Kiti ya 1. 1. 2 pamoja na meza inauzwa bei chee kabisa Kwa tshs 550,000/= maongezi yapo. Kiti kimetumika Kwa miez 6 kwenye familia ndogo ya baba, mama na Mtoto wa miaka 3 Kwa Hiyo viti...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu wa Nchi .Natafuta fuso hizi za kubeba mchanga zenye uwezo wa kubeba toni 7 ,hata kama ni mbovu kidogo .asante sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam Natafuta toner/wino wa Xerox WorkCentre Pro 428 photocopy machine ambao part number yake ni 113R00634. Ukiipata nipate kwa namba 0754626616 Arusha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta Photocopy machine na printer zilizo bora na Imara kwa ajili ya biashara ya stationary, kwa affordable price.
2 Reactions
25 Replies
13K Views
Habari wa ndugu mimi nipo DSM nimekomaa mtaani kazihakuna nimefanya vibarua nimebahatisha kupata mil3 sasa nataka nijiajiri kwakazi za stationery, je kwa hiyo pesa naweza kupata msaada wa kununua...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Natafuta mkanda au video ya mazishi ya Nyerere.Mwenye nayo tunaweza kuongea biashara. Au anaefahamu ninapoweza kuipata anitumie email tinogobba2002@yahoo.com. Thanx.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wadau mi natafuta photocopy machine Canon Image Runner Tuwasiliane kwa namba 0763 385 995 ila awe mwanza
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Fane ya photocopy machine canon ir 2318 contacts 0713 933110 Pia nauza laptops kwa bei nafuu toka America used
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta cannon IR2018 au IR2202 bajeti yangu isizidi milioni moja. Nipo dar mwenye nayo karibu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta copy machine yenye uwezo wa kugeuza karatasi. Iwe used. Nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau naomben msaada wadau. natafuta drum unit ya photocopy mashine aina ya IR 1600. Nipo Dar es salaam. Tafadhali mtu yeyote anayejua anisaidie kwa kunielekeza mahali naweza kuinunua (zinapouzwa)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom