Jipatie laptop huipendayo kwa bei nafuu kabisa inayoendana na bajeti yako
Tunazo Dell,Hp,Accer,Toshiba n.k
Bei kuanzia tsh 280000
Tupo Kariakoo mtaa wa Agrey
Call 0653770235
Karibuni.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya forest hill,morogoro hotel au karibu na samakisamaki -kihonda.nataka nyumba ya vyumba viwili,+sebure,jiko na choo na kuaneneo la watoto kucheza BILA KUSAHAU...
Ni kwamba natafuta simu yeyote yenye kuweka laini nzima sio vipisi,yenye camera ya mbele ,hizi ni sifa kubwa...ninazozihitaji...mm nipo NGARRENARO ARUSHA please kwa aliye nayo Tafadhali...
Karibu kwa wataalam na washauri.
Si wengine ni S&E BEAUTY SOLUTIONS, meno yako yatang'aa na kuwa meupe kabisa kuanzia wiki ya pili tu baada ya kuanza kutumia huduma yetu hii.
Gharama yake ni...
Imekuwa ni changamoto kwa baadhi ya watu wanapohitaji kuagiza gari au bidhaa yoyote nje ya nchi. Hii ni kwa sababu ya kuogopa kupoteza pesa au kutokujua njia gani za kutumia.
Kama wewe unahitaji...
Habari,
Nahitaji mtu anayeweza kununua pesa za Uturuki ani PM tuzungumze.. Nina Turkish Liras 10000.
Nimezunguka mjini nimekosa pa kubadilishia.
Asante na Karibu!
Wanabodi,heshima kwenu.
Nahitaji nyumba ya kupanga 2 bedrooms, self contained. Iwe na uzio/ gate, isiwe ghorofa ila ikiwa duplex ni sawa tu. Range 150,000/- hadi 200,000/-
Tafadhali toa namba...
Habari wanaJF,
Bado natafuta mtu kwa kuniletea samaki aina ya sangara na sato buchani kwangu, niko Dar. Mahitaji yangu ni kilo 100 za sangara na kilo 30 za sato kila wiki. Nicheck kwa whatsapp...
Sajili jinalako.me.tz uweze kulitumia kwa mawasiliano ya emails, websites au blogs. Tunasajili majina ya vikoa vya .tz kwa shilingi 22000 tu za kitanzania katika msimu huu wa sikukuu. Tembelea...
Kuwa mbunifu na ufanye ukuta wako uwe wa kuvutia kwa gharama nafuu. Pakaa rangi ukuta wako kwa kutumia lola ya kupaka rangi na ubadilishe muonekano wa nyumba yako. Inashuriwa kupakaa rangi ya...
Heshima kwenu brothers and sisters
Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") 3km from jk nyerere airport and 11 km from...
Viwanja vinauzwa Bunju B Block 20. Viwanja vya
mradi. Vipo Viwili Kimoja kina sqmt 1553. Bei
60m
Kingine kina sqm 2339. Bei 90m
Vyote vina Hati.
Contact: 0765 178 494.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.