Nanunua video ya mazishi ya Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nanunua video ya mazishi ya Nyerere

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kwelakenya, Jun 28, 2011.

 1. k

  kwelakenya Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta mkanda au video ya mazishi ya Nyerere.Mwenye nayo tunaweza kuongea biashara. Au anaefahamu ninapoweza kuipata anitumie email tinogobba2002@yahoo.com. Thanx.
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jaribisha MAELEZO/HABARI..........
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ishakuwa movie au?
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, mii ninao ila ni VHS, nilirekodi mwenyewe kupitia ITV , nina type mbili, ya kuanzia mwili unasafirishwa toka london hadi bongo, na toka bongo hadi butihama....Kama utapenda naomba tuwasiliane mara moja nifanye taratibu za kukutolea copy...
   
 5. k

  kwelakenya Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukifanya hivyo itakuwa pouwa sana mkuu.Si inaweza kubadilishwa ikawekwa kwenye CD?
   
 6. usedphotocoytz

  usedphotocoytz Senior Member

  #6
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 156
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Badilisha kaseti VHS kuwa DvD
   
 7. usedphotocoytz

  usedphotocoytz Senior Member

  #7
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 156
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 8. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2016
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Mimi Nataka ule Wimbo wa Komba - Ndugu watanzania sasa tufanye nini....
   
Loading...