Photocopier & printer

Photocopier & printer

Zunguka kwenye stationary angalia hivyo vifaa ukiona unayoipenda na ambayo itakuwa nzuri katika biashara yako andika brand yake na namba yake..kisha waweza kuni pm
 
Kama bado hujapata ni pm.Ipo Canon IR 1600.Ni nzuri sana na inafaa sana kwa kazi uliyoitaja.Ulizia wataalam watakueleza.
 
Shukrani sana ndugu yangu lucky sabasaba.
Kiukweli kabisa kutoka moyoni, SINA UJUZI NA UTAALAMU wowote wa hivi vifaa.
Na huku niliko ni kijijini hakuna stationary yoyote nitakayoweza kuifanyia sampling.
Kama ingewezekana ungenishauri ni aina gani ya vifaa hivi ni nzuri kwa biashara hii na specification/brands na namba zake ili iwe rahisi kuvitafuta.
Na kama nitafahamu bei zinarange vipi ingenisaidia sana.
 
Kwani uko kijiji gani mkuu?
 
Mkuu,

Nakushauri ununue photocopy aina ya CANON image runner 2420. Ki ukweli ni photocopy ya kisasa halafu haili umeme, umeme unaotumia ni kama wa printer.

Ukija kwenye maintanance yake ni very minimum na output ya photocopy ni karatasi 9,000 - 11,000. Kingine ni kuwa unaweza ukaiunganisha na computer ikawa hiyohiyo ni printer and at the same time ni photocopy.

Toner yake inacost 80,000 ila zipo nyingine nimeziona dar wanauza kwa 40,000 nimeshanunua ila sijazijaribu.

Mashine kwa kuwa mimi niko Tanga nilinunua mpya kabisa kwa 1,900,000 lakini kwa Dar nilijaribu kuuliza Jamhuri Stationers mtaa wa jamhuri opposite na NBC kichwele branch wanauza 1,800,000.

Ni hayo mkuu...............
 
Mkuu kama mtaji wako ni mdogo na unataka mashine used anza na canon 1512 ni nzuri wino raisi sana 7000 na inauwezo wa kutoa copy 3500.

kama uko dar kunajaamaa pale mtaa wa morogoro opposite na Rainbow hotel karibu na makutano ya Samora na morogoro road wanapata kwa Mudddy nimechukuwa mashine wiki moja iliyopita kwa bei ya Laki 550,000/-
 
Kama bado hujapata ni pm.Ipo Canon IR 1600.Ni nzuri sana na inafaa sana kwa kazi uliyoitaja.Ulizia wataalam watakueleza.

hapana mkuu ir1600 ni mbaya sana hazina speed mie ni fundi mkuu wa hizi mashine nakushauri ununue canon ir 2016,2018,2318,2420 hizi ndo ziko pouwa zina speed fresh
 
Sasa mkuu hata mie nilikuwa nafanya biashara kama hiyo ila mashine yangu ilizingua hadi leo naogopa kufanya biashara ya photocopy. Ila nashukuru nimekutana nawe mtaalam huenda nikarejerea tena. Mashine ni sharp AR 5518. Kuna herufi ina display F2. Alikuja fundi akasafisha kila ki2 akashindwa na hajrud adi leo hii. Alinambia kuwa naweza kutatua ttz online ila nimejaribu lakini wapi!! Msaada tafadhali mkuu
 
Shukrani sana ndugu yangu lucky sabasaba.
Kiukweli kabisa kutoka moyoni, SINA UJUZI NA UTAALAMU wowote wa hivi vifaa.
Na huku niliko ni kijijini hakuna stationary yoyote nitakayoweza kuifanyia sampling.
Kama ingewezekana ungenishauri ni aina gani ya vifaa hivi ni nzuri kwa biashara hii na specification/brands na namba zake ili iwe rahisi kuvitafuta.
Na kama nitafahamu bei zinarange vipi ingenisaidia sana.

kwa performance nzuri na affordability kwa kazi za stationery usitafute printer nje ya HP. Asilimia kubwa ya catridge zake unaweza kurefill, kiujumla maintainance yake ni rahisi. Kwa printer nzuri, mpya aina ya HP yenye kuprint coloured na black and white bei zake ni laki na 30 mpk na nusu.

Kwa HP Photosmart, kama ungependa kupiga picha or passport za fasta pia ni nzuri.

Kwa mazingira yako, usithubutu kununua printer aina ya canon, lexmark, epson nk.

Kwa photocopier machine brand nzuri ni Canon. Bei zake hulingana na specifications zake. But kwa used iliyo ktk hali nzuri huanzia laki 9 na kuendelea.

kwa maelezo zaidi 0225504818 or 0718657503
 
hapana mkuu ir1600 ni mbaya sana hazina speed mie ni fundi mkuu wa hizi mashine nakushauri ununue canon ir 2016,2018,2318,2420 hizi ndo ziko pouwa zina speed fresh
Mkuu sijakuelewa Kwa nn unasema ni MBAYA SANA,wakati Mimi ninaitumia na haijanisumbua kabisa.Na yapo maduka
 
hapana mkuu ir1600 ni mbaya sana hazina speed mie ni fundi mkuu wa hizi mashine nakushauri ununue canon ir 2016,2018,2318,2420 hizi ndo ziko pouwa zina speed fresh
Mkuu sijakuelewa Kwa nn unasema ni MBAYA SANA,wakati Mimi ninaitumia na haijanisumbua kabisa.Na yapo maduka mengi nimeyaona yanatumia mashine aina hii hii,Na bei yake ni nzuri tu(1200,000/- ya kawaida na 1600,000/- yenye uwezo wa kuprint)
 
Kwa sababu haina option ya duplex.
 
Halafu anatokea mtu anasema vijana wa kitanzania hawapendani!!. Bila shaka huyu ndio atakuwa hawapendi vijana wa kitanzania, nimefurahishwa sana na thread hii namna watu walivyo na moyo wa kumshauri mwenzao anayetaka kuanza biashara-go on vijana, mungu atasikia maombi yenu, muendelee na moyo huohuo wa kushauriana na kusaidiana
 
Hiyo ndio sababu kubwa iliyonifanya nijiunge hapa JF na kuchana kabisa na fesibuku...
 
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote walicomment thread yangu.
Mawazo na ushauri wenu utakuwa ni wenye kufanyiwa kazi.
Niseme tu kutoka moyoni kwamba kiukweli kabisa sikujua wapi nianzie, lakini ninakiri kwamba mmenipa macho ya kuonea ktk hili.
Nitakuwa mchoyo wa fadhira kama sitowashukuru na wale ndugu zangu walioniPM, nyote kwa jumla ushauri wenu unafanyiwa kazi.
AHSANTENI SANA.
 
Wakuu Canon 2420 inauzwa bei gani na inapatikana eneo gani kwa dsm na kigoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom