Viti vya kisasa vinauzwa TZS 550,000/=

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
649
939
Set ya Kiti ya 1. 1. 2 pamoja na meza inauzwa bei chee kabisa Kwa tshs 550,000/= maongezi yapo.

Kiti kimetumika Kwa miez 6 kwenye familia ndogo ya baba, mama na Mtoto wa miaka 3 Kwa Hiyo viti pamoja na meza bado vipo safi kabisa.

Nicheki hapa 0652 494919.
Mzigo upo dar
 

Attachments

  • IMG-20160113-WA0016.jpg
    IMG-20160113-WA0016.jpg
    87.9 KB · Views: 169
Last edited:
Back
Top Bottom