Nauza simu kali sana

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Imetumika wiki 2, literally bado mpya. Jipangie Bei:
 

Attachments

  • IMG-20160114-WA0041.jpg
    IMG-20160114-WA0041.jpg
    25.8 KB · Views: 173
  • IMG-20160114-WA0037.jpg
    IMG-20160114-WA0037.jpg
    34.4 KB · Views: 167
  • IMG-20160114-WA0040.jpg
    IMG-20160114-WA0040.jpg
    44.8 KB · Views: 173
[QUOTEun à orat69, post: 15091224, member: 88859"]Elfu 12 unachukua mkuu!? Hicho kifimbo baki nacho tu.[/QUOTE]
Yaani una utani wa ngumi ww mimi ndo maana huwa siombi ushauri JF nawashangaa sana watu kwa kuwa najua majibu nitakayopata
 
[QUOTEun à orat69, post: 15091224, member: 88859"]Elfu 12 unachukua mkuu!? Hicho kifimbo baki nacho tu.
Yaani una utani wa ngumi ww mimi ndo maana huwa siombi ushauri JF nawashangaa sana watu kwa kuwa najua majibu nitakayopata[/QUOTE]
Utani kaanza yeye mleta mada aliposema tuipangie bei. Wewe Ukiambiwa ujipangie bei ungefanyaje labda!? Tatizo sio JF, tatizo ni baadhi ya watumiaji Kama wewe.
 
Unaweka picha za simu husemi aina ya simu specifications zake tutajuaje hiyo simu
 
..."Muha mmoja anaweza kubishana na abiria wa behewa zima la 3rd class toka Tabora hadi Kigoma"...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom