Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kichwa cha habari kinahusika,kwa mtu yeyote aliyepotezana na nduguye/mgeni wake jana majira ya jioni maeneo ya stendi kuu ya mabasi ya Ubungo afike kituo cha Polisi External! Ni binti wa miaka...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Asalaam wana jamii natafuta nyumba ya kupanga eneo ya Ilala kodi iwe kati ya 150,000 hadi 200,000 na nina kodi ya miezi 9 iwe na viumba viwili maji na luku ya kujitegemea
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Toyota Altezza inauzwa, mwaka 1999, engine capacity 1925, silver color, leather seats, ipo Dar es Salaam, bei 6.5 million haipungui. Maelezo zaidi piga 0713399109 au 0765448488.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NAUZA GALI TAJWA HAPO CC 990 MWAKA 2005 KM 148000 NI NAMBA" D" BEI 7.8M(MAONGEZI YAPO) NICHEK 0783380123
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mileage :64,503 km. Imetembea Dar kwa mwaka mmoja tu toka inunuliwe. Namba inaanzia D. Documents zote zipo. Picha zimeambatanishwa kwa maelezo zaidi. Bei 10m. Kwa mawasiliano zaidi, piga 0714-313362
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe vizuri,bei maelewano,nipo dsm,0658327429.
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Wide range of Newest new generation diagnostic products. Interested parties PM for more details.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Tunafanya training kwa wahasibu pia kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya kihasibu, sisi tunafundisha jinsi ya kutumia QuickBooks. Tunafundisha masaa 20, ambapo masaa 20...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza kiwanja cha makazi kipo Singida mjini unyakumi karibia Na radio standard, maji Na umeme vimeshafika. Pia Huduma nyingine za kijamii zinapatikana kirahisi sana. Bei ni milion tano mapatano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hp elitebook for sell Spec Ram 4gb Hdd 320 i5 core Bluetooth Wifi 3G Size 12.5 Window 8 Betre 4-5 wahi zimebaki chache 0712191251 460,000 tu
0 Reactions
2 Replies
826 Views
asalaam wana Jamii natafuta nyumba maeneo ya Ilala kodi iwe kati ya 150,000 na 200,000 Nina kodi ya miezi 8 iwe na viumba viwili na jiko umeme wa kujitegemea na maji yoyote aliyekua anayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unazijua copy ambazo huwezi kuzitofautisha na Samsung Note 4? Ninayo moja mpyaaa, nyeupe, nzito na yenye Specs zilizoshiba, inaenda kwa Laki 3 tu. Call 0653257566
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa chidachi east-dodoma kwa mawasiliano 0769054296
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hey guys kama una meza za office mbili please wasiliana nami kwa namba 0718371221/ 0627739477 nahitaji kununua. Thank you so much.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12M x14M inafiti katika plot ya 20x20M, design nzuri kwa kupangisha. Kwa matumizi...
5 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari? Mimi ni mfanyabiashara wa kusambaza maziwa ya Tanga Fresh hapa Dar es Salaam. Kwa sasa nimepata route mpya ya kusambaza maziwa tajwa hivyo nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia shughuli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina 70000/= nipo dsm,ni pm.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom