Nauza african paintings style mbalimbali!

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,807
6,303
2015_11_30_18_20_21_OneShot.jpg
FB_20150617_21_55_57_Saved_Picture.jpg
wp_ss_20160113_0007.png
wp_ss_20160113_0005.png

wp_ss_20160128_0005.png
Mimi Ni msanii muda mwingi nauza kazi zangu online worldwide, nikaona sio vibaya nijaribu kupost thread hapa kuhusu kazi za Sanaa, kujaribu kutafuta soko la nyumbani, nachora African paintings kwa style ya Fine art, Knife paintings, Tingatinga art, abstract etc, Una picha yoyote unataka niichore, idea yoyote wasiliana Na Mimi, kwa wabongo wenzangu bei Ni za kawaida, bei inaanzia 20,000-50,000-100,000-200,000 na kuendelea kwa picha moja, pia kulingana na size na aina ya picha, picha zinakua kwenye Canvas frame, natumia Oil na Aclyric, Brush na Pallete knife, unaishi nje unataka Ku deal Na arts business tuwasiliane, naambatanisha Na kazi chace ambazo zipo sokoni, Una swali maoni karibu!
 
View attachment 320264 View attachment 320265 View attachment 320262 View attachment 320261
View attachment 320259 Mimi Ni msanii muda mwingi nauza kazi zangu online worldwide, nikaona sio vibaya nijaribu kupost thread hapa kuhusu kazi za Sanaa, kujaribu kutafuta soko la nyumbani, nachora African paintings kwa style ya Fine art, Knife paintings, Tingatinga art, abstract etc, Una picha yoyote unataka niichore, idea yoyote wasiliana Na Mimi, kwa wabongo wenzangu bei Ni za kawaida, bei inaanzia 20,000-50,000-100,000-200,000 na kuendelea kwa picha moja, pia kulingana na size na aina ya picha, picha zinakua kwenye Canvas frame, natumia Oil na Aclyric, Brush na Pallete knife, unaishi nje unataka Ku deal Na arts business tuwasiliane, naambatanisha Na kazi chace ambazo zipo sokoni, Una swali maoni karibu!
contact?
 
Back
Top Bottom