Natafuta nyumba ya kupanga Morogoro mjini

Natafuta nyumba ya kupanga Morogoro mjini

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
3,072
Reaction score
7,514
Habarini Great Thinkers,

Nina shida na nyumba ya kupanga
Mkoa :Morogoro
Mahali: Kihonda/sabasaba/bigwa
Mahitaji: Iwe na vyumba viwili/vitatu kimoja kiwe master,jiko sebule,dinning na iwe ndani ya fence,inafikika kwa gari,iwe na umeme.
Budget: Sh. 150,000 - 180,000/mwezi

Pia nahitaji chumba cha biashara maeneo ya mjini

Aina ya Biashara : Nguo za watoto
Budget: Sh. 80,000 - 120,000/mwezi

Mwenye taarifa anipm kwa mazungumzo. Natanguliza shukrani.
 
Me kwa kukusaidia ntakupa namba za jamaa wanaodeal na hizo mambo cz ni mwenyeji moro ila nipo far mtwara...nicheki kwa 0652112026
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom