Habari wana jf,nauza shamba langu eka 4,shamba lipo maeneo ya mbuyuni barabara kuu iendayo simanjiro,shamba lipo pembeni ya barabara kuu iendayo simanjiro.
Shamba lipo umbali wa kilometa 25 kutokea kona ya mbauda,bei kwa eka ni ml 6.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.