Chumba au Nyumba zinapangishwa maeneo ya Mwenge, Mbezi, Wazo

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,362
Kama unahitaji chumba au Nyumba ya kupanga maeneo ya Mwenge, Mbezi au wazo wasiliana nami, Chumba self, chumba sebule, vyumba viwili na kuendelea, bei zinatofautiana kulingana na mahali na ubora na mwenye nyumba, kama unahitaji nipigie kwa 0684448888 au 0713415537
 
vyumba 2, sebule ni sh ngapi maeneo ya shekilango, sinza, mwenge,

Mkuu nyumba zinatofautiana bei kulingana na mahali na ubora na mmiliki mwenyewe, unaweza ukute nyumba ya vyumba viwili bei 300,000 jirani yako akawa na nyumba ya vyumba viwili bei ibada 500,000 ni kusema unahitaji ya vyumba viwili na una kiasi gani na unapelekwa ya ofa uliyotoa, huwezi kuniambia una 500,000 nikakupeleka nyumba ya 250,000 na kinyume chake,
 
Hakuna humu ambaye ameshatafutiwa Nyumba na tunzo mje hapa mtoe mtoe mrejesho?maana nliwah kuona dalali mmoja na mteja wanazodoana humu jukwaan
 
Hakuna humu ambaye ameshatafutiwa Nyumba na tunzo mje hapa mtoe mtoe mrejesho?maana nliwah kuona dalali mmoja na mteja wanazodoana humu jukwaan
waje tu wapo
 
mkuu unaweza kunipatia nyumba maeneo ya chuo cha muhas ? room tatu au mbili na bei zake zinakwendaje?
 
Mkuu nitafutie three rooms......sinza, mwenge, savei.
Zipo mkuu nichek kwenye namba, Kuna nzuri zipo sinza mitaa ya lion hotel, Kuna ya Vatican, Kuna kijitonyama mabatini.. wewe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom