soko la chenga za green toumaline(kenya)

Troojan

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
967
674
habari za jioni wadau!!
naomba msaada kwa mtu ajue soko la chengachenga ndogo za green toumaline hasa kenya ambapo nmepata tetesi kua ilo soko lipo. ila kwa Tanzania wanaitaji sana ya chekecho saizi6-10!
sasa naomba mwenye kufahamu dealers wa aina hii ya chenga chenga za green toumaline anaijulishe tuweze kufanya biashara.
mzigo upo mwingi sana na mzuri kiasi kitakahoitajika.ahsante
 
Back
Top Bottom