Natafuta kuingia katika biashara na Kampuni iliyo safi ya Kukodisha Magari, nataka tufanye wote hii biashara pamoja. Tuwasiliane Tafadhali
+255769711544
Nauza Asali mbichi ya nyuki wadogo, haijachakachuliwa ipo kwny dumu la lita moja sealed... Bei ni tsh. 15000/= per litre! Unaweza kupata lita nyingi kadri utakavyo, nipo magomeni dar es salaam!
A.alleikhum wadau,kiwanja kinauzwa kwa bei poa
Mahala:Sinza Madukani/K'ndoni (Dsm)
Ukubwa:40×40 (vyumba viwili vpo ndani ya eneo hlo)
Bei: 180M (Maelewano yapo)
Mengineyo:Hati na Nyaraka muhimu...
Ofa ya kiwanja Nyerere road mkabala na airport. Ukubwa karibu 2255 square metres ina fence na gate. Hati ya makazi ipo. Ina nyumba ya kawaida ya vyumba vinne. Ideal kwa stoo, parking, kujenga go...
Kwenu wadau,
Kwa mtu yoyote or small firm/ entity kama unahitaji Pos(point of sale) system ambayo waweza integrate na Efd au ukatumia just normal slip printer basi wasiliana na mim ili nkupe...
Kuna mtu humu ana deal na hiyi biashara ya kujaza upepo na kuziba pancha?Shida yangu ni kujua bei ya ile mashine ya ku press tairi na compressa kubwa na mchanganuo kidogo wa biashara...
Jamani naiuza ipo moja na inafanya kazi ipo barabarani ipo vizuri sana engine yake isipokuwa body lakufanyia marekebisho kidogo kama vile turubai kununua lakini ni nzima sana.
Sababu yakuuza...
kwa wale wote wanaoojenga na wapo kwenye hatua za kuweka fremu za milango wanione. Fremu zinapatikana kwa gharama ya sh. 110,000 tu. Mbao inayotumika ni mninga pure .
Unatoa order yako pamoja na...
Kioo cha computer yangu kimepata ufa, Nahitaji mwenye uwezo wa kunitaftia kioo pekee (Display) LCD-Flat Screen 19 Inches, ANIPIGIE SIMU TUONGEE BIASHARA: 0652416300
KAZI ZIMESIMAMA: Natumia...
Tunakata viwanja maeneo haya:-
Bunju km 1 kutoka bagamoyo road 30 kwa 40 bei 16.5ml
Mwanzoni mwa mapinga mbele kidogo ya bunju B km 2 kutoka bagamoyo road 20 kwa 25 bei 7ml
Goba karibu na stand...
Salam wadau...nimeuza gari langu na nimeagiza lingine nahitaji gari ya kukodi kwa bei nzuri (fair) kwa wiki 3...kuanzia carina...premio..vits...gx100..ilimradi iwe nzima tu.Naomba mwenye nalo au...