KIWANJA KINAUZWA SINZA KWA WAJANJA

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
A.alleikhum wadau,kiwanja kinauzwa kwa bei poa
Mahala:Sinza Madukani/K'ndoni (Dsm)
Ukubwa:40×40 (vyumba viwili vpo ndani ya eneo hlo)
Bei: 180M (Maelewano yapo)
Mengineyo:Hati na Nyaraka muhimu vpo
Ukipendezwa ni_pm tufanye mchakato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom