Ofa: Kiwanja Nyerere road

Ngondonyoni

Senior Member
Feb 16, 2016
120
74
Ofa ya kiwanja Nyerere road mkabala na airport. Ukubwa karibu 2255 square metres ina fence na gate. Hati ya makazi ipo. Ina nyumba ya kawaida ya vyumba vinne. Ideal kwa stoo, parking, kujenga go down n.k. Ipo jirani shule ya Masika na úsalama upo. Bei 150 million negotiable. Contact 0757681604 // 0652610603. Tunahitají wanunuzi na siyo dalali. Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom