Mkopo wa laki 5 unatafutwa

Jul 18, 2012
69
25
Habari yenu JF members, nina shida ya laki 5 mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Nitairudisha baada ya 2wks.
 
Dah.. kudadadeki JPM kiboko kukamua majipu kwa siku 100 tu watu wamepagawa hadi wanakuja kuomba mkopo wa laki5 JF wakati siku100 zilizopita ndiyo ilikuwa pocket money ya kuendea bar
 
Kama unadhamana njoo inbox..hata bila kuandikishiana ntakuamini tuu nduguyangu.
 
Back
Top Bottom