Nauza zote kwa bei ya jumla.
Niliagiza ili kuziuza ila sasa muda unakua mdogo nashindwa kufuatilia nauza kwa bei ya jumla 104000 tuu niziuze zote au nipen ofa zenu
Je, unahitaji kusanifiwa nembo, vocha, makava ya vitabu, business cards, business documents na vingine vingi? Tembelea kwenye tovuti yetu ili uchague utakacho kwa buku tano tu: www.bukutano.com
Nauza laptop ainaya Mcbook air is in good condition
OS X
Intel® Core™ i5 processor
Memory: 4 GB
Hard drive: 128 GB SSD
Battery life: Up to 9 hours battery life
Ndugu toleo jipya la Epson L850 lina sifa kama za Epson Px660 wino wa nje,scanner,copier, printer, wino wa nje wa kumimina, ubora wa picha wa hali ya juu. Bei ni 1.4m tu. Wahi zipo chache ni...
Ndugu wanajamvi,
Natafuta flatbed trailer used au mpya
ambayo ipo Dar es salaam. Maelezo ya ziada;
Flatbed trailer used au mpya
Air suspension BPW axles
40 ft
Super single tyre
Iwe ya OZGUL au...
Jipatie Viwanja Sasa kwa bei nafuu kabisa Ambavyo Vipo kwenye maeneo mazuri ya ujenzi Pia viwanja vinakopeshwa utaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miez 6
Ukubwa wa viwanja ni 20*20...
Habari wakuu, ninauza huawei tajwa hapo juu.
-Imetumika kwa miezi 10
-Ipo ktk hali nzuri kabisa
-Ni simu Original
-Nakupa na Chaji yake niliyonunulia
-Ni simu yangu Binafsi wala si ya mtu wala...
Nautafuta vifaa kwa ajili ya salon ya kiume, vifaa hivyo ni kama vile viti, sterilizer machine, kiti cha kuoshea n.k. mimi niko Morogoro, karibu tufanye biashara
Habari wadau; Kiwanja chenye ukubwa wa eneo tajwa hapo juu kinachopatika Mbezi mwisho kinauzwa.
Bei ya mauzo ni Sh 4,500,000 (Negotiable) mazungumzo yanaruhusiwa.
Kwa yeyote mwenye uhitaji ani...
Wanajf!!
Ninatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya makazi, kwani nimehamishiwa hapa Arumeru, Arusha. Nyumba iwe ya vyumba vitatu (kimoja kiwe master bedroom) vya kulala, sitting, dining etc...
Ndugu zangu wa www.jamiiforums.com
Nimepata uhamisho, kuelekea Arumeru. Ofisi yangu ipo mitaa ya Leganga
Natafuta nyumba, mwenye access na nyumba ya kupangisha ktk mitaa ya Leganga, mjimwema...
Wadau amani iwe kwenu
Nahitaji kumnunulia shemeji yenu gari hata kama ni ya kumvua mtu, budget yangu ni ndogo ndio maana nahitaji ya mkononi
Nahitaji passo au vits au swift au toyota ist, hivyo...
- Napenda kuwafahamisha my people here kwamba as a part of Celebrations ya my Social Media Company kutimiza miaka 3, tutakuwa na Semina maalum ya "KUZALIWA MASIKINI SIO ADHABU YA KIFO" ambayo...