illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
salaam nimefanikiwa kuandika kitabu chenye jina "akipatikana nafuu" lakini sikuweza kufanikisha kukiendeleza, taratibu za awali za kukifanya kitabu kutumika kama riwaya ya kufundishia nimeshazifanya natafuta mtu ama kampuni itakayoweza kukifanya kitabu hiki kiendelezwe na kuingia sokoni