Chief mbona processor yake ni 2nd generation si inaweza kupitwa na core i3 ambayo ni 4th generation?pc nzuri hata mimi nairecomend
2nd generation bado ni nzuri kwa viwango vya sasa. i3 ya 4th generation inapitwa na i5 ya 2nd.Chief mbona processor yake ni 2nd generation si inaweza kupitwa na core i3 ambayo ni 4th generation?
Sasa mkuu vipi i7 comapared na zingine?2nd generation bado ni nzuri kwa viwango vya sasa. i3 ya 4th generation inapitwa na i5 ya 2nd.
benchmark nyingi zinaonesha i3 ya 6th generation ndio equivalent na i5 ya 2nd ila hii ni mulithreaded. kwenye single thread i3 kuanzia 3rd gen mpaka 6th gen zote zinaipita i5.
i7 ipiSasa mkuu vipi i7 comapared na zingine?
mkuu chief mkwawa mtu anaweza Juan vipi kua CPU flani ni 2nd generation 3rd 4th or 5th generation?Mashine hiyo mkuu
mkuu chief mkwawa mtu anaweza Juan vipi kua CPU flani ni 2nd generation 3rd 4th or 5th generation?
shukrani sana mkuuunaangalia namba ya kwanza ya processor
mfano processor ya juu hapo ni i5 2500 namba ya kwanza ni 2 hivyo ni 2nd generation
desktop ya pili ni i3 3240 namba ya kwanza ni 3 hivyo ni 3rd generation
ukiona i5 6500 jua hio ni 6th generation.
rule hio inatumika kuanzia 2nd hadi 6th generation. processor za first generation zenyewe zina namba tatu tu mfano i5 580 kuanzia 2nd hadi 6th ni namba nne