Je, wewe ni mpenzi wa TV Series? Ingia, sio ya kukosa hii

Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
378
127
Je, wewe ni mpenzi wa series but;

1. Huna muda wa kuitafuta?

AU

2. Kulikua kuna series za kipindi cha nyuma kidogo ulikua unapenda kuiona tena but huna muda au the resources kuitafuta.

AU

3. Unaona uvivu ku download series kwa kuwa kuna seasons nyingi unataka kuona but wewe huna wa kuzitafuta series zote hizo online.

**********

Basi kama wewe ni mpenzi wa series na matatizo hapo juu yanakufiti wasiliana nasi kupata series yoyote uipendayo kama ni season 1 hadi 20 sisi tutakutafutia. Gharama zetu ni tsh.55,000/=

Tutumie PM sasa na utuambie series unayotaka.

NB: American series only
PS: Serious customers only
 
Tshs 60,000/= parefu sana kaka. Hizi kama ushazi-download wewe punguza tuzifuate. Ingekua unazi-download now ningekuelewa kidogo lakini kwa zile ambazo tayari unazo fanya unafuu kidogo.
 
mkuu huwezi kunitafutia series kama sikosei ni ya wamexico mi pecado(burden of guilty) ishawai kuonyeshwa na itv,nataka ambayo wanaongea kiingereza
 
Acapulco bay na The passion...zote ziliwahi kuonywesha ITV..zitaoatikaba!?
 
Samahani wadau kuni quote vibaya nashkuru kwa wale wote walioonesha uhaja mzuri but SERIES nazoongelea mimi sio TELENOVELA sio tanthili zile za wa spanish.....Nazoongelea mimi ni series kama vile Arrows,Prison Break,Alias,Lost,Big bang theory,Breaking bad,two broke girls,Vampire Diaries ,Person of interest,Spartacus,Suits,EMPIRE,Tomorrow People na nyingine nyingi zinazofanana na hizi i hope tumeeleana........
 
Wayiiii.......nilitaka unipe kitu cha......quando seas mia........au la mujer de mi vida........au pangako sayo....
 
Back
Top Bottom