Natafuta Fremu ya biashara

Twino...

Member
Jan 22, 2016
9
2
Ninatafuta frame ya duka kuweka biashara ya tigo pesa na Mpesa eneo lenye mzunguko wa watu wengi msaada wadau....
 
Na sio frame tu, sema frame ya duka. Maana frame ziko za aina nyingi, utaletewa frame ya picha bure!!!
 
Back
Top Bottom