Sehemu ya kuweka dispensary inapangishwa

Sehemu ya kuweka dispensary inapangishwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,424
Reaction score
138,194
Iko kimara temboni njia ya kuelekea saranga,nyumba hiyo Ina ngaliana na barabara ya lami...
Eneo hilo panafaa Sana kuwekeza dispensary maana ktk eneo hilo hakuna huduma hiyo,
Nyumba hiyo Ina nyumba 6 na Ina sehemu ya ofisi na sehemu ya kuweka duka LA sawa....kodi kwa mwezi ni tsh 450,000/
Kwa mawasiliano piga Simu 0715591141
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom