Wapelekee samsung wenyewe wana service centre zao ila inategemea uko mkoa gani. Usiipeleke kwa fundi unless unauhakika nae na pia warranty yake imekwisha
Duka moja liko Barabara ya Uhuru jirani na round about ya Uhuru na Msimbazi. Jingine kubwa liko kwenye Kituo cha Mabasi ya Mbagara (Mtaa wa Msimbazi). Ukifika hapo watakupa maelekezo ya nini cha kufanya.
Ova.
Wapelekee samsung wenyewe wana service centre zao ila inategemea uko mkoa gani. Usiipeleke kwa fundi unless unauhakika nae na pia warranty yake imekwisha
Mdau nenda freedom electronics iliyoko dar ..upande wa pembeni kuna mlango unatazamana na NBC bank,hapo ndio wanafanya service uwe na warranty au la utapata suluhisho..ukikwama ni pm nitakupa namba ya simu ya pale ili iwe rahisi.hope this will be useful!
Hata mimi tv yangu imekumbwa na tatizo la kutoonesha vizuri. Inatokea rangi ya kijani, ukiitikisa inatulia kwa muda kisha tatizo linaendelea. Naweza kupata mafundi wapi kwa mkoa wa Dodoma? Msaada wadau!
Hizi tv zikianza kuzingua ni majanga.. mm yangu ilikuwa samsung 42inch.. ilizingua kioo kilikuwa kinaonyesha marangi na picha ikawa inacheza nkapeleka pale uhuru kwa wakala wa samsung nkalipia 40elfu ya check up.. wakaniambia watanipigia sim.. baada ya wiki ckupigiwa cm nkaenda wakaniambia natakiwa ninunue kioo kipya kinauzwa million moja.. tena wanaagiza inabidi usubiri.. nkasalimu amri maana bei ya kioo inakaribia ya tv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.