Nyumba inauzwa 900m Tshs. Ya ghorofa, ipo eneo zuri la kibiashara. Mazungumzo yapo. kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu 0754060350,0716252818.
Nyote mnakaribishwa!!!!!!!!!!
Je unategemea kufanya engagement?
Na hujui ni pete ya aina gani umnunulie mpenzi wako?
Basi ondoa shaka, tutakupa ushauri wa bure jinsi gani utaweza kumfanyia surprise mpenzi wako kwa pete...
jaman natafuta mashine ya kukata nyama yaan nyama iliyokatwa iwe thin kama vile silesi ya mkate nyembamba na ndefu, plz kwa aliyo nayo au kujua mahali zipo
Ndugu wana jukwaa habari .
Ni matumaini yangu kua mko salama kabisa na mwaendelea kulijenga taifa .
Bila kupoteza mda ningependa kujuzwa kuhusu tv mojawapo kati ya hizo nilizotaja hapo juu...
Habari wakuu, nauza duka la vifaa vya umeme, vipo vya Bomba na ujenzi pia.
Pia nitakuuzia shelves, kabati ya display pamoja na Meza.
Vyote nauza jumla kwa 5 mill only.
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)eneo limeshajengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara pia umeme upo,bei ni kwa yule anayehitaji kwa mawasiliano piga 0785-458405
Salama kabisa!
Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE.
Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji.
Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi.
Kutoka ferry
1...
UKUBWA: SQM 900, UMEME UPO NA BARABARA HADI KWENYE KIWANJA.
KIWANJA KIMEKATWA, MWENYE KIWANJA AMEJENGA PEMBENI.
KIWANJA HAKIJAPIMWA, ILA HAKINA MGOGORO NA MWENYE KIWANJA YUPO JIRANI.
BEI...
Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache...
Kusema kweli nimeshafanya biashara na wakuu humu walio serious kwenye JF matangazo, ila sasa tumevamiwa humu, na Akina moderator watu wanajua hilo.
Tunatangaza biashara ila watu hawako serious...
True Ink Associates would like to Announce that the Fifth CISA
(Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled
to commence on Monday 11/01/2016, Dar Es Salaam City Center...
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)lina upana wa miguu 20 na urafu 15,limwjengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara umeme upo,kwa atakayehitaji eneo lina nyaraka zote na sababu ya...