TV4Sale LG, Samsung ama Sony Tv

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,371
4,847
Ndugu wana jukwaa habari .
Ni matumaini yangu kua mko salama kabisa na mwaendelea kulijenga taifa .
Bila kupoteza mda ningependa kujuzwa kuhusu tv mojawapo kati ya hizo nilizotaja hapo juu .Uhitaji Wangu ni kupata TV ya nchi 24 flat screen led TV sasa ipi ni nzuri kati ya kampuni hizo tatu laki pia bei ikoje ? Bajeti yangu ni laki tatu za kitanzania
 
Nadhani kwasasa zinaanzia laki nne kwa hizo brand ulizo taja nchi 24,ila kwa TCL au Boss unaweza fanikiwa kwa hiyo laki 3 japo sikupi uhakika saana.
 
Unaweza pata kampuni nyingine mfano Daytek Daewoo ambayo ni korea sio china ...32 inches LED kwa 380
 
Back
Top Bottom