Plot4Sale Surveyed plots in Kigamboni for sale

AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
113
Salama kabisa!
Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE.

Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji.

Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi.

Kutoka ferry
1. Kimbiji kwa chale ni 43km viko karibu na bahari na chuo cha maafisa wa JKT vinauzwa kuanzia 10,000 kwa sqm
2. PUNA ni 46 km hivi ndio viko karibu na bahari zaidi vinauzwa kuanzia 12,000 kwa sqm
3. Potea hivi ni mbali na bahali na hivi ndio tunaviuza kuanzia 9000 hadi 10000 kwa sqm

Call 0714227532
 
Wauzie wajeshi mkuu
 
Potea ni kilomita ngapi kutoka ferry? naomba nijibu fasta niiweke hii factor katika kufanya maamuzi
 
Potea ni kama 47 km kutoka fery mkuu!
Poa kiongozi nahitaji viwanja viwili kwa ajiri ya wanangu hapo baadaye nitakucheki, nikiwa tayari, Mwaka jana nilinunua kiwanja maeneo ya Tundwi Centre hati nimepata majuzi japo kiwanja sijakiona sijajua kama kuna maendeleo yeyote kule nillikosa mda wa kwenda kuonyeshwa wakati surveyaor anapeleka waliouziwa, ulipotaja Tundwi inaonyesha una ABCs za Tundwi Centre
 
Tundwi nikama 10 km ama 7 km mbele kutoka potea.
Halafu hivyo potea ni barabarani kabisa kama umewahi fika tundwi basi hapo kwenye junction ya barabara inayotoka kimbiji na ile inayotoka mwasonga
 
Thanks
 
Poa kiongozi nahitaji viwanja viwili kwa ajiri ya wanangu hapo baadaye nitakucheki, nikiwa tayari, Mwaka jana nilinunua kiwanja maeneo ya Tundwi Centre hati nimepata majuzi japo kiwanja sijakiona sijajua kama kuna maendeleo yeyote kule nillikosa mda wa kwenda kuonyeshwa wakati surveyaor anapeleka waliouziwa, ulipotaja Tundwi inaonyesha una ABCs za Tundwi Centre
Mkuu uliishia wapi kufanya maamuzi nunua maeneo kwangu basi
 
Kiongozi hvyo vya puna vilivyo karibu na bahari, ni umbali gani kuelekea baharini?
 
Mkuu uliishia wapi kufanya maamuzi nunua maeneo kwangu basi
Kaka vyanzo nilivyokua navitegemea vimerushiwa rushiwa mchanga balaa, (Mimi ni mtumishi wa umma). Nina mda mrefu sasa natafuna kamshahara kangu tu, ngoja upepo huu upite huwenda wazo la kufanya masuala ya maendeleo litarudi tena
 
Sorry kk, nilikuwa namaanisha hvyo vya puna ambavyo viko karibu na bahari
Vya karibu na bahari ni ndani ya 800m na vingine viko 400m na vingine viko ndani ya 120m kutoka bahari.
Umeme umepita kwenye viwanja kabisa
 
Kaka vyanzo nilivyokua navitegemea vimerushiwa rushiwa mchanga balaa, (Mimi ni mtumishi wa umma). Nina mda mrefu sasa natafuna kamshahara kangu tu, ngoja upepo huu upite huwenda wazo la kufanya masuala ya maendeleo litarudi tena
Hahahahahahaha pole kaka nimecheka sana!
 
Halafu ninaviwanja vingini huku bunju B vinapakana na ujenzi wa nyumba za serikali za TBA...Tanzania buildings Agency

Hivi tunaviuza kwa 35000 kwa sqm

Viwanja vyote vinaukubwa kuanzia 1700 sqm hadi 2400 sqm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom