Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)eneo limeshajengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara pia umeme upo,bei ni kwa yule anayehitaji kwa mawasiliano piga 0785-458405
Kwanini ununue eneo lililotengwa kwa ajili ya shule, sehemu za wazi, makaburi, barabara, hospitali na sehemu nyinginezo ambazo hupaswi kujenga au kuendeleza? Je unamiliki eneo ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) liko sehemu gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue kama uko salama kuendeleza au laa. Usije kununua au kujenga kisha baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni nk.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.