Pata Ushauri wa BURE juu ya.....

Horseman

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
447
392
Je unategemea kufanya engagement?
Na hujui ni pete ya aina gani umnunulie mpenzi wako?

Basi ondoa shaka, tutakupa ushauri wa bure jinsi gani utaweza kumfanyia surprise mpenzi wako kwa pete iliyotengenezwa kwa umahiri na standard za kimataifa kwa kutumia malighafi toka Tanzania.

Usihofu kuhusu budget yako kwani utashauriwa kwa kile ulichonacho mkononi.

Kwa maelezo zaidi

Piga: 0654-891-003 au 0653-284-788
 
Ukitaka biashara yako ichanganye hapo kwenye tangazo lako ongeza "Pia tunatoa ushauri nasaha jinsi ya kuzuia/kuwa mwelewa pindi unapojua/fumania mwenzi wako akichepuka,pia wanaume jinsi ya kukabiliana na stress za kubambikiwa watoto",maana baadhi ya ndoa siku hizi baada ya kuvishana hizo pete yatakayoendelea humo ndani mwao ni mtihani.
 
Back
Top Bottom