Indian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 821
- 708
Ni Octoplus Box inaweza kuflash Na Kutoa Loki Samsung, Lg, Huwaei, Sony Ericson za aina zote
Ni NCK BOX inatoa Loki na kufash Nokia, Samsung,Htc,Huwaei, Tecno, nk za inatoa Loki zote
Bei kwa zote ni 700,000 ni bei nzuri ukilinganisha Kama kuagizia, bei hii ni ya haraka kwa sababu ya kufunga ofisi yetu.
Zinafanya kazi vizuri sana ukiwa unahitaji Kujaribu njoo na simu Zako.
Ni karibu mpya zimetumika miezi 6
Hapo chini nakuwekea picha uangalie na zinavouzwa huko kwenye makampuni yao.