Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Keko

MBEBA MAONO KAJA

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
365
195
Wanajamii nawasalimu.
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa.
Kiwanja kina hati miliki halali.
Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga nyumba ya vyumba kadhaa vya kutosha familia eneo hilo.
Ni eneo linalofikika na huduma muhimu kama umeme zipo. Pia ni karibu hata ukitaka kwenda kariakoo.
Kwa biashara,mawasiliano na maelewano ya bei nicheki PM.
 
Wanajamii nawasalimu.
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa.
Kiwanja kina hati miliki halali.
Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga nyumba ya vyumba kumi.
Ni eneo linalofikika na huduma muhimu kama umeme zipo. Pia ni karibu hata ukitaka kwenda kariakoo.
Kwa biashara,mawasiliano na maelewano ya bei nicheki PM.
Mkuu Vipimo huvijui Square meter 176 maana yake ni hatua 13.5 kwa hatua 13.5 ni eneo dogo sana mafisadi hicho huwa ni chumba kimoja so ni dogo sana halafu unasema vyumba 10 kweli Ujinga si mali kitu.
 
Kwa ukubwa huo usishangae kukuta shared Tittle deed ukauziwa chochore.
Maana hapo ni ujenzi wa vyumba viwili tu kimeisha.

Na ndio maana anaona tabu kutaja bei,maana anajua challenge zitafuata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom