Natafuta MC, Video Camera, Ukumbi, Mapambo

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
712
Natafuta MC, Video Camera, Ukumbi, Mapambo n.k tufanyaje biashara ya matangazo. Hzo picha hapo chini namna ya matangazo yakavyoonekana kwenye website wanaJF. Ni bure kwa mwaka huu wote, kama wewe ni mmoja hapo wa hayo mambo hapo juu kwann usichangamkie tenda ya kutangaza kazi yako uongeze kipato chako. Kinacho hitajika ni profile picha, details zako mfano namba ya simu na mahali ulipo pamoja na picha za kazi ulizofanya na videos kwa wateja kuona kaz zako na kujirizisha.

"Coming together is a beginning, staying together is progress, and working together is success~~ Henry Ford."
 

Attachments

  • home1.fw.png
    home1.fw.png
    103.1 KB · Views: 179
  • home2.fw.png
    home2.fw.png
    388.2 KB · Views: 482
Uko wapi mkuu naomba tuwasiliane naweza kukusaidia mawazo nina camera 0719666099
 
mkuu unaweza fafanua kidogo namna utakavyofanya hiyo biashara ya matangazo na sisi wadau???kwa mawasiliano zaidi nicheki 0754348782,nicheki pia facebook @mctillychizenga
 
mkuu unaweza fafanua kidogo namna utakavyofanya hiyo biashara ya matangazo na sisi wadau???kwa mawasiliano zaidi nicheki 0754348782,nicheki pia facebook @mctillychizenga
Ninachokifanya ni kuweka informations zako mf namba za simu na mahali uliyopo pamoja na kazi zako ulizozfanya kama mc au video shooter
 
Mimi hapa Mc mzuri tu.
MM ninachoitaji ni kukutangazia kwenye website yangu, sio kama natafuta mc kwaajir ya sherehe. Kama wewe ni mc tufanye biashara ya matangazo au utaki kujitangaza upate pesa
 
Basi ntangazie?ntafutie mseti naviuza vyombo hivyo vyote....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom