wewe shangaa hivyo hivyo wenzio wanaoijua salasala na thamani ya ardhi wakija hawaulizi mara mbili wananunua tu40,000,000/530=75,472 aiseee, ngumu kumesa
wewe shangaa hivyo hivyo wenzio wanaoijua salasala na thamani ya ardhi wakija hawaulizi mara mbili wananunua tu
mkuu tatizo la watz ni wagumu sana kufikiri unajua siku zote unapotaka kununua kitu usiogope bei japo kuwa viwanja salasala ni kweli vipo juu lakini huyu aliyeleta hiyo thread hapo kasema hicho kiwanja ni cha kaka yake so yeye ameweka bei tangulizi lakini usishangae ungempigia muhusika mngeweza kupunguziana utashangaa kutoka 40milion anaweza kuuza hata 25milion it depends huwenda akawa anauza kwa shida ukawa umepata bahati au akaamua tu kushusha mpaka mkafikia muafaka hivyo nafikiri ni vema tungejiwekea utamaduni wa kuuliza na kuhoji kuliko kukulupuka.U can't be serious, that's too low to buy for 4omils
mkuu walio jenga wengi hawakujenga kwa siku moja so maisha ni kujipanga na ukitaka kujenga pasipo presha usin'gan'ganie viwanja vya ndani ya mji nenda vya nje kuanzia kerege udindivu mapinga utapata viwanja vya bei nafuu utajenga taratibu mpaka mji unakua umeshapaua.Dah milion 40 kwa mshahara wangu wa ualimu kwa kweli mjini ntaishia nyumba za kupanga tu
Richa ya hivyo waulize? MTU anauza Mali yake, kama wewe sio mnunuzi mdomo wa nini?. Mimi nimekusupport mia kwa mia mkuu Bizzle. Hiyo aneropoka na hana kitu aachie wanaojua na wana ubavu watanunua,!!wewe shangaa hivyo hivyo wenzio wanaoijua salasala na thamani ya ardhi wakija hawaulizi mara mbili wananunua tu
Coxson,Wadau nawasalimu sana,
kaka yangu anauza surveyed plot salasala,kwa mboma(minarani).
kina ukubwa wa mita za mraba(square metres) 530.
Bei ni shilingi milioni arobaini,
kwa anaehitaji ani -PM nimpe namba zake,kwa mazungumzo na maelezo zaidi.
Naambatanisha na picha
View attachment 326784View attachment 326785
Bush lawyer,40,000,000/530=75,472 aiseee, ngumu kumesa