office ina vyumba vitatu ipo kwenye mazingiraa mazuri na salama ulinzi upo wa kutosha ipo karibu na City style Hotel hapa Dar es salam na pia karibu na kituo cha daladala cha Mawasiliano. Kwa...
Ninapangisha frem mbili kwa pamoja, njia ya Tangibovu-Goba, zinafaa kwa mini-supermarket. Tayari nilikuwa nimeshaweka shelf kama picha zinavyoonesha.
wasiliana kwa simu +255743831889 au PM kwa...
Model ni sony vaio model pcg-61a11l
Pamoja na spiker moja ya upande wa kulia..
Kwa sasa napatikana kigoma yeyote anaehusika na hii makitu tuwasiliane
Namba ni 0783444324, unaweza ukanipata pia...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Hard disk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
Habari wadau
Sabuni za kigoma zmetengenezwa kwa mawese
Ni nzuri hazikati povu kwenye maji ya chumvi
Zinapatikana kwa bei nafuu
bei ni kuanzia ;
1800
1700
1600
Kwa mche
Ukiwa interested ni PM
Kiwanja kipo maeneo ya Mbweni beach, Kuna Boy kota pembeni, Ni jirani Na nyumba ya Joti anapojenga, ni mwendo wa dakika 30 kufika beach! kina ukubwa wa mita 40 kwa mita 30, kiwanja kina hati ya...
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum!
Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji.
Nauza mayai ya kienyeji Trey moja 15,000 kwa mteja wa rejareja na kwa mteja wa Jumla yaani kuanzia trey 10 kwa siku kwenda mbele...
Hizo ni baadhi ya kazi zetu,tafadhari njoo na wewe tukuhudumie uwe katika mtandao wa wateja wetu wa nguvu.Bei zetu ni rahisi saana kulinganisha na huduma itolewayo.
Piga simu namba 0655541948...
#Eneo la KIWANJA sqmts 400
#ipo mbezi beach jogoo upande wa kushoto ukitokea mwenge;300 metres from Africana bagamoyo road
#4bedrooms semifinished house inahitaji semifinishing kwasasa INA umeme...
Pazia Pazia pazia
Upana meter 2 urefu meter 3 kwa 50,000 tuuu
Unapata na nyepesi ya kufanania ya meter 2 kwa 40,000 tuuu
Call/wharsap 0713691101/0769633450
Unafikiwa popote ulipo dar
Mikoani...
Habari wapendwa kama heading inavyojieleza nahitaji toyota ist iliyo katika hali nzuri ningependelea haswa namba c au d budget yangu
ni 7.5m. kama utahitaji tufanye biashara unaweza kuniPM
Mungu...
Kiwanja Kipo Goba, Mtaa wa Muungano.
Karibu na Mivumoni.
Ukubwa wa kiwanja: SQM 500, Bei Milioni 8.5.
Direction: Ukitokea Tegeta Wazo alafu Mivumoni center then Kiwanjani.
Kipo Kilometer3 kutoka...
Wadau wa JF Kiwanja kinauzwa
Mahali:SINZA DSM
Ukubwa wa eneo:40*40
Vilivyomo:Vyumba viwili+Choo na Bafu
Price:170M
MAELEWANO YAPO,NICHEKI PM KM UNAHITAJI KUISHI KWA WAJANJA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.