Karibu uchimbiwe kisima cha bei rahisi mno

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Hizo ni baadhi ya kazi zetu,tafadhari njoo na wewe tukuhudumie uwe katika mtandao wa wateja wetu wa nguvu.Bei zetu ni rahisi saana kulinganisha na huduma itolewayo.
Piga simu namba 0655541948
E-mail: tawadriller@yahoo.com
1459173024697.jpg
1459173045041.jpg
1459173090774.jpg
1459173223920.jpg
1459173272510.jpg
 
1) Kama ulishaweka uzi mwingine kwa huduma hii hii basi hukua na haja ya kufungua uzi mpya,
2) Huo urahisi wa bei uliouita "sana" unaousema ungeutaja tuuone. Maana bei za 60,000 au 65,000 kwetu ni bei za kawaida tu
 
Back
Top Bottom