Nauza Mayai ya Kienyeji

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
495
513
Habari Zenu Wadau wa Jamii Forum!

Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji.

Nauza mayai ya kienyeji Trey moja 15,000 kwa mteja wa rejareja na kwa mteja wa Jumla yaani kuanzia trey 10 kwa siku kwenda mbele nauza 14,000.

Pia natotoresha vifaranga kwa Sh.10,000 trey moja,na kifaranga kimoja cha siku moja nauza 2200 na cha mwezi mmoja nauza 5000.

Ukichagua kufanya biashara nami nitakufundisha mbinu nyingi za biashara na kuweza kufuga kuku wengi kwenye banda dogo kabisha na bila madhara yoyote.

Nawakribisheni sana, piga simu
0766943145 au 0717 022199
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom