Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,800
- 6,294
Kiwanja kipo maeneo ya Mbweni beach, Kuna Boy kota pembeni, Ni jirani Na nyumba ya Joti anapojenga, ni mwendo wa dakika 30 kufika beach! kina ukubwa wa mita 40 kwa mita 30, kiwanja kina hati ya kijijini, bei Ni Mil. 35! Kwa mawasiliano 0769 535 559.