Car4Sale Ninauza gari yangu Toyota passo

Pastor steven mdoe

Senior Member
Jan 13, 2016
113
34
Gari ni ya mwaka 2005 capacity engine ccm 990 imetembea km 52400 no DEX

Picha nitaweka asbhi kukiwa na mwanga
Mawasiliano 0715060183
0756060183
 
Attachments

  • 1459085088939.jpg
    1459085088939.jpg
    62.9 KB · Views: 59
  • 1459085129090.jpg
    1459085129090.jpg
    60.7 KB · Views: 47
  • 1459085147793.jpg
    1459085147793.jpg
    61.7 KB · Views: 54
Angalia picha ya tatu utaona bampa ya tairi kama imekatika. Nahisi inabidi muuzaji aseme na mapungufu ya gari hiyo

Nadhani macho yako yamekudanganya ila ukweli ni huu, haina tatzo ya bamba wala shida nyinginezo
Kwa uhakika zaidi ukiwa serious unawza kuliona kwa uchunguzi zaidi
 
Nadhani macho yako yamekudanganya ila ukweli ni huu, haina tatzo ya bamba wala shida nyinginezo
Kwa uhakika zaidi ukiwa serious unawza kuliona kwa uchunguzi zaidi
Umemjibu kwa Hekima sana Rev. Hongera sana maana watu wengine uhuliza maswali ya kupandisha jazba lakini Hekima ni Njema sana.
 
Back
Top Bottom