Fredy89 Member Jun 28, 2012 96 101 Mar 28, 2016 Thread starter #6 RRONDO said: Door Mats. Click to expand... Kiswahili nahisi ni lugha rahisi kuelewana
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 54,833 119,879 Mar 28, 2016 #7 Fredy89 said: Kiswahili nahisi ni lugha rahisi kuelewana Click to expand... Kiswahili cha door mat ni nini? Nina uhakika sio dometi.
Fredy89 said: Kiswahili nahisi ni lugha rahisi kuelewana Click to expand... Kiswahili cha door mat ni nini? Nina uhakika sio dometi.
Jidu JF-Expert Member Mar 9, 2011 1,232 756 Mar 28, 2016 #8 RRONDO said: Kiswahili cha door mat ni nini? Nina uhakika sio dometi. Click to expand... Sikufahamu ni kitu gani kumbe ni Zulia/Busati la mlangoni.Lugha yetu inapotea kwa kweli
RRONDO said: Kiswahili cha door mat ni nini? Nina uhakika sio dometi. Click to expand... Sikufahamu ni kitu gani kumbe ni Zulia/Busati la mlangoni.Lugha yetu inapotea kwa kweli