Naitaji Keyboard ya Laptop.

Naitaji Keyboard ya Laptop.

Docteur

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
240
Reaction score
233
Model ni sony vaio model pcg-61a11l
Pamoja na spiker moja ya upande wa kulia..

Kwa sasa napatikana kigoma yeyote anaehusika na hii makitu tuwasiliane
Namba ni 0783444324, unaweza ukanipata pia WhatsApp..
 
Hata mm nina tatizo hilo. dell yangu ime dont kufanya kazi herufi nne nikachukua keyboard ya desktop.
 
Nikweli kaka. Itakapo bidi nitafanya hivo. Ila hii sikuipenda sana. Ngoja nione mwisho wake. Asante sana
 
Model ni sony vaio model pcg-61a11l
Pamoja na spiker moja ya upande wa kulia..

Kwa sasa napatikana kigoma yeyote anaehusika na hii makitu tuwasiliane
Namba ni 0783444324, unaweza ukanipata pia WhatsApp..

Keyboard inapatikana kwa tshs 85,000/= mpya kwenye box. Call 0655003510
 
Model ni sony vaio model pcg-61a11l
Pamoja na spiker moja ya upande wa kulia..

Kwa sasa napatikana kigoma yeyote anaehusika na hii makitu tuwasiliane
Namba ni 0783444324, unaweza ukanipata pia WhatsApp..

ImageUploadedByJamiiForums1389648940.914863.jpg
 
Back
Top Bottom