PLOT FOR SALE
PLOT SIZE: 572sq
GPS CODES; LAT -3.384321 LNG 36.558426
LOCATIONS:
ENGORORA (Village), KISONGO (Ward), ARUMERU WEST (Province),
ARUSHA (Region), ARUSHA DISTRICT COUNCIL
CLOSE...
Nyumba 3 zinauzwa Mwanza bei 85ml
contact: 0768900863
Ziko katika eneo moja mraba 40 kwa 40 ziko Mwanza nyuma ya kiwanda cha Coca-cola karibu na mnada wa Ng'ombe.
Nyumba kubwa ya kwanza ina...
Nauza samsung galaxy s2 1777 ya kikorea kwa laki na 35..bei haipungui..ina gb 16 na 8 mp..ina betri 2..nipo kinondoni. .kama uko interested nichek 0718864384
Specification: Storage 8GB
Processor 1GB
Rear camera 13mp
front camera 5mp
imetumika miezi miwili na nusu, iko kwenye hali nzuri na inapiga kazi vizuri-haina tatizo lolote.
LOCATION: Dodoma...
Nauza Fuso tipper mignon engine 16 ipo katika hali nzuri tairi zote mpya,vibali vyote ni valid ukinunua unaanza kazi.Bei million 22 mazungumzo yapo.
Namba ya simu 0715/0754 472414
Je unataka kufanya TV advert labda kwa kufundisha jamii au kutangaza biashara yako? Wasiliana nami kwa namba hii 0786371108 tuzungumze
...
Tunafanya matangazo ya Animation pia so wote...
Shamba linauzwa Mwanzo mgumu Kisarawe mkoa wa pwani, lina ukubwa wa ekari tano bei ya kila ekari ni tsh 2,500,000 gari inafika mpaka shambani, maelewano pia yapo 0714621548
Siku zote asikuambie mtu, ukitaka umkamate mwanaume shutu umpikie chakula kitaaamu na kinachovutia basi utapendwa wewe sio kila siku mwanaume anaenda kula hotelini tuu wakati wewe mwenyewe ukipika...
Habarini wadau ninapikipiki yangu aina ya skymark commuter juzi ilipata ajali na kuvunjika vifaa vyote vya mbele. Tatizo upatikanaji wa spare zake ni utata naomba kwa anayejua zinapopatikana...
Zimewasili mjini
Ni SHUKA 2
FORONYA 4
6*6 COTTON
48,000/- TUU
DAR UNALETEWA/MIKOANI TUNAWATUMIA KWA UAMINIFU MKUBWA SANA NA KWA HARAKA
CALL/WHATSAP US #0769633450 /#0713691101
Follow us instagram...
Nyumba 3 zinauzwa Mwanza bei 85ml
contact: 0768900863
Ziko katika eneo moja mraba 40 kwa 40 ziko Mwanza nyuma ya kiwanda cha coca cola karibu na mnada wa ng'ombe.
Nyumba kubwa ya kwanza ina...
Nyumba inauzwa Mwanza eneo la Busenga/Cocacola. Nyumba ina 3 bedroom, kimoja master, public toilet ndani, library, jiko, dining, sittingroom, store, Pia kuna maji na umeme, kuna eneo kubwa la...
Kuna Uncle wangu anatafuta mshitiri wa eneo lake lililoko Mtoni Kijichi
Kama ungependa kuwa mshitiri wa eneo hilo basi tuwasiliane kwa maelezo ya kina
Lina ukubwa wa 34x18 na ameshaweka banda...
Wanajamvi habari za asubuhi,
Leo nimeibuka na kuomba msaada wa mrejesho juu ya bei za vyumba hapo mbinga mimi ni mgeni hapo napenda chumba chenye self contained au kingine kila kiwe kizuri wakuu...
Habari wanaJF, offa kabambe kwa watu wanaofanya biashara ya mambo ya sherehe kama vile mc, mapambo, mavazi, n.k. Offa ni mwaka mmoja bure tembelea website Nahitaji::Home. Karibuni wote kutangaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.