Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa...
Wakuu!!!
Hivi karibuni niliibiwa adapter ya Laptop aina ya ASUS MODEL X200MA...output ya adapter ni 19V DC, 1.75A, 33W. Anaye jua wapi naweza pata adapter hii please naomba ani pm. Maana...
Fuull picha kama zilivyo
Location:tegeta ununio
All docs zinapatikana eg hati
Na inaruhusiwa kuja kuziangalia na kuhakiki
Bei 550mil & price negotiable
Kwa mawasiliano
Piga 0655730921 kwa taarifa...
.Tigopesa sh190,000.
.Selcom machine sh270,000
.Photocopy canon 2420 image runner sh 1.7mil. Imetumika kidogo na bado ni mpya.
.Pia kuna stationeries mbalimbali zinauzwa.
.kiufupi nilikuwa na...
hello,
kama kichwa cha habari kinavyosema.
order ni lazima iwe zaid ya trei 50 au 100.
bei ni 7500/= pamoja na usafir ulipo, ni ndani ya dar es salaam tu.
malipo ni cash.
only serious people...
Nauza sabuni za maji, nzito zenye pozi na zinazotengenezwa na mjasiriamali wa kiTanzania. sabuni hizi zipo katika ujazo wa lita 1 bei 2000 na lita 5 bei 8000.
Sabuni hii inafaa kufulia...