Natafuta Nguruwe wa kufuga

Natafuta Nguruwe wa kufuga

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa Dar au maeneo ambayo ni jirani na Dar naomba anifahamishe.
 
Kwanini msiweke mambo hadharani?
 
Hiyo ni biashara haiwezi wekwa hadharani cos ni makubaliano baina ya watu wawili hasa kwenye bei na maelewano na wauzaji wengine hawako jf
 
Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa Dar au maeneo ambayo ni jirani na Dar naomba anifahamishe.
Ninao .ni pm kwa maelewano.
 
Hiyo ni biashara haiwezi wekwa hadharani cos ni makubaliano baina ya watu wawili hasa kwenye bei na maelewano na wauzaji wengine hawako jf
weka hadharani upate wateja zaidi kama wewe ni muuzaj, nini siri? bei?!!!!
 
Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa Dar au maeneo ambayo ni jirani na Dar naomba anifahamishe.

xxx.jpg
 
Habari, naishi Dar.
Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji
kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa
anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa Dar au maeneo ambayo ni jirani na
Dar naomba anifahamishe.

Nipigie kwenye: 0686 555726
 
Habari, naishi Dar. Nataka kuanza mradi wa kufuga nguruwe, ntawafugia bagamoyo. Nahitaji kuanza na nguruwe kumi, kama kutakuwa na mtu yeyote yule atakayekuwa anauza au anamfaham mtu anayeuza hapa Dar au maeneo ambayo ni jirani na Dar naomba anifahamishe.

Ungeweka mawasiliano yako ingekua vema sana. Piga namba hii 0764 518 851 ana nguruwe wazuri sana wa umri mbalimbali.
 
Leviticus 11:7-8 :- And the pig, because it parts the hoof and is cloven-footed but does
not chew the cud, is unclean to you. You shall not eat any of their
flesh, and you shall not touch their carcasses; they are unclean to
you.
 
Back
Top Bottom