The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,674
- 2,801
Wakuu!!!
Hivi karibuni niliibiwa adapter ya Laptop aina ya ASUS MODEL X200MA...output ya adapter ni 19V DC, 1.75A, 33W. Anaye jua wapi naweza pata adapter hii please naomba ani pm. Maana nimetafuta maduka mengi nimeikosa. Natanguliza shukrani. Naomba msaada wenu,