Vifaa Vya Shooting Vyote Kwa 250000/=

Peter Lemi

Member
Mar 30, 2016
39
62
Nauza Vifaa Vyote Vya Shooting Vipo Morogoro Taa! Stand! Piga 0712988560 au 0786143441.
1459757859039.jpg
1459757887943.jpg
1459757943031.jpg
1459757970543.jpg
1459758010201.jpg
1459758044237.jpg
 
Mbona vifaa vyako ni gharama kuliko bei unayouzia.
Ningependa kufahamu kwanini unaviuza kwa bei hiyo?
(Maana nina nadharia nyingi kichwani ambazo si nzuri kuhusiana na bei na gharama halisi ya vifaa vyako.)
 
Shida tu bro
 
Wise1 hivo vitu ni bei ya shida inaonesha asee!,
Camera 100,000/
Tripod 80000/-
Light 70000/-

But kwa usawa huu wa MAGU fanya hii price:

Camera 100,000/-
Tripod. 50,000/-
Light. 40,000/-
Utauza fasta mtoa mada!.
 
Mkuu usiombee shida cwez kupata hasara hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom