Nyumba /Ghorofa for sale

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
1459674759268.jpg
1459674803027.jpg
1459674831966.jpg

Fuull picha kama zilivyo
Location:tegeta ununio
All docs zinapatikana eg hati
Na inaruhusiwa kuja kuziangalia na kuhakiki
Bei 550mil & price negotiable
Kwa mawasiliano
Piga 0655730921 kwa taarifa zaidi
0718939273
 
Amepatikana mteja au bado? Nina taka kuongeza mke so natafuta nyumba ya kujishikiza bi mdogo.
 
Mbona bei ndogo kwa nyumba na eneo? Sio mambo ya kutumbuliwa?
 
Kigorofa kametuliaaa,lakini hujasema eneo gani lilipo
 
Hizi bei karibu zitapotea kwa kulipa cash .hufisadi kusheney sabab watu WA serikali ndio wenye Uwez huu WA kununu ,wafanya biashara ni wachache wenye Uwez huo wakulipa cash .
 
Back
Top Bottom