Tigopesa, selcom, photocopy

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
.Tigopesa sh190,000.
.Selcom machine sh270,000
.Photocopy canon 2420 image runner sh 1.7mil. Imetumika kidogo na bado ni mpya.
.Pia kuna stationeries mbalimbali zinauzwa.
.kiufupi nilikuwa na stationery sasa naachana na hii biashara.
Niko Dsm.
.kwa aliye tayari ani pm tuongee.
 
Wewe ni mhujumu uchumi,kama unaacha biashara ya tgo pesa si unarudisha line kwa kampuni,Huu upigaji mtaacha lini wabongo,Mtu asinunue hiyo laini,nenda tigo sgop elf 59 unapata yako mpyaa na inasajiliwa kwa jina utakalo
 
Vipi mkuu ndio unaisoma namba au?
 
Wewe ni mhujumu uchumi,kama unaacha biashara ya tgo pesa si unarudisha line kwa kampuni,Huu upigaji mtaacha lini wabongo,Mtu asinunue hiyo laini,nenda tigo sgop elf 59 unapata yako mpyaa na inasajiliwa kwa jina utakalo
Sasa kwanini huyu auze sh 190000 wakati ni 59000?
 
Watanzania wamezoea ujambazi na uizi!, kuwaibia wengine wasiokuwa na uelewa
Ni kweli kabisa. Tatizo ni kutokujua mkuu. Kumbe kwa njia hiyo waweza fanya biashara. Unanunua 59000 unauza kwa 190000. Pia nimeona wengi wanauza kwa bei ya juu kuliko hata huyu. Labda ofisini wanamasharti
 
Kama ni kweli hapo pana fursa ya biashara, kama ulivyosema. Unaenda tigoshop unanunua malaini kibao halafu unakuja mtaani kuwaibia watu. Huyu anaiba sana tatizo lake, sijui ni mfanyabiashara toka mkoa gani? wale wa arusha mbona hawatakagi faida kubwa au mm sina uelewa vizuri
 
Back
Top Bottom