Nauza sabuni za maji, kufulia & kudekia

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,303
50,470
Nauza sabuni za maji, nzito zenye pozi na zinazotengenezwa na mjasiriamali wa kiTanzania. sabuni hizi zipo katika ujazo wa lita 1 bei 2000 na lita 5 bei 8000.

Sabuni hii inafaa kufulia, kuoshea vyombo na kudekia ndani na vyooni.
Ina harufu nzuri na haipaushi nguo, wala kuchubua mikono.

Delivery ipo kwa wateja wa baadhi ya maeneo Dar es salaam.
Muuzaji anapatikana Ubungo.
Piga 0755155782.
Utapata hitaji lako.

Support wajasiriamali wa kitanzania nunua bidhaa zetu. Karibu
 
Back
Top Bottom