Tunahitaji Hiriki (cardamon), Pilipili Manga (black pepper), na Karafuu (Cloves)

Jun 14, 2010
63
42
Ndugu wajasiriamali,

Kwa mkulima mwenye viungo vilivyotajwa hapo juu awasiliane nasi kupitia simu ya mkononi namba 0767-988-173 au barua pepe marukuvanilla@gmail.com

NB: Fursa hii ni kwa wale wenye bei ya Shambani tu!

Asanteni.
 
Nawashukuru wote waliowasiliana nasi kuitika wito wa tangazo hili. Zoezi limekamilika Kwa mafanikio. Tumefanikiwa kumpata mkulima kutoka Turiani-Morogoro na anaanza rasmi kazi ya kutuuzia hiriki.

Karibuni kwa fursa nyingine zilizobaki. Pia tunahitaji binzali nyembamba, binzali manjano, uwatu, haradali, paprika, mchaichai, vitunguu swaumu na Tangawizi.
 
Back
Top Bottom